GLyr

Sauti Sol – Unconditionally Bae

Singers: Sauti Sol
song cover

Lyrics Sauti Sol – Unconditionally Bae

Text:

We all need love
We all need affection
And the way that you’re looking at me
I can feel a connection

Unanibamba baby, kwanza unavyochekecha
Kinywaji kwa mkono, na kibeti kwa bega

Juu sikuizi madem wanapenda doh
Na machali pia tunazo drama
Ya dunia ni mengi sana, no commitiment mama
So nipe nafasi
Nikupe mapenzi yangu ya kiluhya
Hallelujah

We all need love
Nakupenda
Tena nina imani sana
Ushanitega, ushanitega
We all need someone
Nakupenda
Tena nina imani sana
Ushanitega, ushanitega
So make love to me
Unconditionally bae, unconditionally bae
Make love to me
Unconditionally bae, unconditionally bae

Alikiba:
We all need love
Me I need a wife, wa kuishi na yeye
Fuata vijana utakufa mapema magonjwa yamejaa
Jina langu Ali, sasa lazima nilee
Nikikosa kula, nawe ndo chakula, nitakonda mazima

And I belie-eeeve, nitakuwa nawewe
Mwanzo mpaka mwisho
And I belie-eeeve, baibe

We all need love
Nakupenda
Tena nina imani sana
Ushanitega, ushanitega
We all need someone
Nakupenda
Tena nina imani sana
Ushanitega, ushanitega
So make love to me
Unconditionally bae, unconditionally bae
Make love to me
Unconditionally bae, unconditionally bae

Ali
(Bumaye)
Sauti Sol
(Bumaye)
East Africa
(Bumaye)
Tanzania Kenya
(Bumaye)
Kigali
(Bumaye)
Bujumbura
(Bumaye)
Kampala
(Bumaye)
Kinsasha
Bumaye