GLyr

Nyashinski – Mungu Pekee (Only God)

Исполнители: Nyashinski
обложка песни

Текст Nyashinski – Mungu Pekee (Only God)

Текст:

Sijui ka n’taona kesho
Ka ningali na uwezo wa kuifanya n’taifanya hadi mwisho
Mwambieni uyo devil, simwogopi shetani, sir god yuko nami hadi kifo
Ka ntaona kesho, nipe nguvu na uwezo wa kijana na akili za mzee

Daima ni we, imara wasiniangushe
(Cedo)

Naona saa, kila siku nizawadi toka maulana
So haja gani ushike tama mama
Majaribu huisha, oh yaae
Na hata ka
Maadui zangu watashikana nao njama siogopi nasimama mum
Yakiama yao yaja eeh

Hio ndio pace nasonga nayo
Wanashangaa hakuna stress nakuanga nayo
Naishi ka sina case mahakamani
Au madeni za majirani
Niko fresh njee na ndani, oh yaae

Naamwogopa mungu pekee
Wanadam’ kija kuntafash naomba mungu n’tetee
Maneno yao yasiniumize nfanye sugu wewe
Wakitry kuntisha naomba nisitetemeke

I know you love me, know you love me
So I don’t fear nobody but you
I know you love me, know you love me
Nisitetemeke
x2

Ah! siamini joh ju vile naishi life ni ngumu kuamini hii si ndoto
Sijui kesho vile itakaa kwa hivyo leo nitaifanya ka kidogo hua hairidhishi roho
Yani sana, tena sana, hata wale wananchukia wananiheshimu bruh mi si kodogo
Ah sibabaiki nikiskia mkiongea

Nazidi kuwapa mi kisogo, nakama saa sismami
Staki life iniwache mataani mtaani
Mwenyezi nchungie familia yangu na pia
Za wale wote sauti yangu wanaiskia
Tupe afya nzuri, na maisha matamu
Barabara zetu zinyooke waone mfalme ni wewe
Wakupewa shangwe ni wewe, wa kupewa shagwe ni wewe… hey!

Naamwogopa mungu pekee
Wanadam’ kija kuntafash naomba mungu n’tetee
Maneno yao yasiniumize nfanye sugu wewe
Wakitry kuntisha naomba nisitetemeke

I know you love me, know you love me
So I don’t fear nobody but you
I know you love me, know you love me
Nisitetemeke
x2

I pray we, me and my people we never die
Say we live forever and forever we multiply
And wherever we go
Ni nini wanaweza nishow hata ka sina kitu
Uko na mimi kila siku
Kila siku, wewe pekee

Namwogopa mungu pekee
Wanadam’ kija kun’tafash naomba mungu n’tetee
Maneno yao yasiniumize n’fanye sugu wewe
Waki-try kun’tisha naomba nisitetemeke

I know you love me, know you love me
So I don’t fear nobody but you
I know you love me, know you love me
Nisitetemeke
x2