Lyrics Sauti Sol – Lazizi
Text:
Lazizi wangu we
Zawadi nono kutoka mbinguni
Nakuwaza my baby (Nakuwaza my baby)
Nikikuwaza usiku silali
Chorus:
Nikikuona na wengine nashikwa na wivu
Naomba unipe number yako nikuvutie wire
Nikupeleke Java
Tunywe kahawa
Tukizubaa dubaa dubaa
Mukhali wanje we
Shihanwa shyanje khurula khu-nyasaye
Ndakhuyanza my baby (Ndakhuyanza my baby)
Shihanwa shyanje khurula khu-nyasaye
Chorus
Zunguka zunguzukane
Nikitafuta kama wewe
Mi nafeel so nice
Unanipa mi amani
Mbele baby
Sioni njia bila wewe
Wewe…eeeh Lazizi
Chorus
Mazoe manana (Mazoe manana ah)
Kadonangaeuta na lola, na
Kanisakayo sheri nanga
Soki yo tena nzanga kapongi (Mpenzi)
Chorus