GLyr

Sauti Sol – Tulale Fofofo

Singers: Sauti Sol
Albums: Sauti Sol – Home Sweet Home
song cover

Lyrics Sauti Sol – Tulale Fofofo

Text:

Look to the sky
I’m way up (Way up)
Way up (Way up)
Time of my life

Never get enough, can’t get enough
I’m feeling the way that the music be talking (Talking to me)
Straight to the body I’m moving no stopping (Can’t you see)
One thing on my mind
Turn this song up (All the way up)

Ikibamba sana wapi nduru oye (oye) x4

Tulewe ndindi
Tucheze chini chini
Tuende nyumbani
Tulale fofofo
x2

Tulale fofofo x4

Look into my eyes girl
What’s up what’s up baby
Love of my la la la life
What’s up what’s up sweety
Juu mi ni mtu ya ingho,
Hapa naleta maringo
Kama, baby uko single
Si mi na wewe tumingle (ayaya)
Juu mi ni mtu ya ingho
Hapa naleta maringo
Kama
Baby uko single
Si mi na wewe tumingle

Ikibamba sana wapi nduru oye (oye) x4

Tulewe ndindi
Tucheze chini chini
Tuende nyumbani
Tulale fofofo
x2

Tulale fofofo x4

Kama unanipenda
Kama unanipenda
Oya baby shuka (Shuka baby)
Shuka chini, shuka (Shuka baby)
Nakupenda
Kama unanipenda
Oya baby shuka (Shuka)
Shuka chini, shuka (Shuka baby)

Album

Sauti Sol – Home Sweet Home