Текст Sauti Sol – Kuliko Jana
Текст:
Bwana ni mwokozi wangu
Tena ni kiongozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi
Ananipenda leo kuliko jana
Kuliko jana, kuliko jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Kuliko jana, kuliko jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Nakuomba Mungu uwasamehe
Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema
Na maadui wangu nawaombea
Maisha marefu wazidi kukuona ukinibariki
Ujue binadamu ni watu wa ajabu sana
Walimkana Yesu mara tatu kabla jogoo kuwika
Ujue binadamu ni watu wa ajabu sana
Walimsulubisha Yesu Masia bila kusita
Na Bwana ni mwokozi wangu
Tena ni kiongozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi
Si kama binadamu habadiliki
Ananipenda leo kuliko jana
Kuliko jana, kuliko jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Kuliko jana, kuliko jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Wewe ndio nategemea
Kufa kupona Baba nakutegemea
Kuingia mbinguni utaniondolea
Wewe ndio nategemea
Kufa kupona Baba nakutegemea
Chochote kitanikatsia
Kuingia mbinguni utaniondolea
Wewe ndio nategemea
Kufa kupona Baba nakutegemea
Chochote kitanikatsia
Kuingia mbinguni utaniondolea
Wewe ndio nategemea
Kufa kupona Baba nakutegemea
Chochote kitanikatsia
Kuingia mbinguni utaniondolea
Na Bwana ni mwokozi wangu (Amen)
Na tena ni kiongozi wangu (Amen)
Ananipenda (Amen) leo kuliko jana (Amen)
Baraka zake hazikwishi (Amen)
Si kama binadamu habadiliki (Amen)
Ananipenda (Amen) leo kuliko jana (Amen)
Kuliko jana, kuliko jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Kuliko jana, kuliko jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Wewe ndio nategemea (Amen)
Kufa kupona Baba nakutegemea (Amen)
Chochote kitanikatsia (Amen)
Kuingia mbinguni utaniondolea (Amen)
Wewe ndio nategemea (Amen)
Kufa kupona Baba nakutegemea (Amen)
Chochote kitanikatsia (Amen)
Kuingia mbinguni utaniondolea (Amen)
Na Bwana ni mwokozi wangu (Amen)
Na tena ni mkombozi wangu (Amen)
Ananipenda (Amen) leo kuliko jana (Amen)
Baraka zake hazikwishi (Amen)
Si kama binadamu habadiliki (Amen)
Ananipenda (Amen) leo kuliko jana (Amen)
Kuliko jana, kuliko jana
Nipende leo kuliko jana